Mkenya, nilifanyiwa uchawi, naona heri nihamie Tanzania

Mbona Kiswahili chako sio cha Kenya kabisa? Mtanzania wewe.
 
Watu wanapiga madili kwa kutumia ushirikina wa hali ya juu! Ukiwaona hutadhani kwani wanapasua sala kwa kwenda mbele. Wewe na usomi wako unaogopa kwenda njia panda usiku wa manane kupasua nazi. My friend! Uwe makini unapofanya biashara!
 
Vipi, wewe umeishajiunga nao? Umeisha pasua nazi njia panda usiku ukiwa uchi? Hebu tupe ushuhuda wako hapa.
 
jaribu kuweka biashara Githurai, customer ni wengiii.
 
Sijaenda njia panda, ila Nina mpango wa kutafuta kalumanzila wa uhakika huko kwenu Ukambani. Ila ninaomba Mungu aniepushe na freemason!
 
Kiswahili cha Kitanzania hiki. Watanzania wacheni kujifanya kwamba nyinyi ni Wakenya. Kiswahili cha Kenya tunakijua. Hata Mtanzania akija Kenya na kufungua mdomo kuongea, baada ya sentensi moja huwa tunajua yeye ni Mtanzania.
one more thing I hate about kenyans

sasa pia kutumia kiswahili ni zogo pia? I've lost all faith in majority of kenyans.
upuzi na roho chafu nimeona huku zimekidhiri zaidi
 
jaribu kuweka biashara Githurai, customer ni wengiii.
githurai wapi haswa? sasa funds za relocation itakua balaa kwa sasa. the problem ni hili swala la mapepo. nadharau kuanza from cratch all the fuckin time, KWA SABABU YA MTU!

sasa naonelea nitafte hela, nijenge body niende FFL
 
kwani kuhamia Tz is free? Same funds hamia Kasarani au Githurai ama tuongee na wazee wa Eastleigh watume fare hehehehe

By the way mapepo nimesikia haziwezi vuka border mpaka ziwe na "passport" kimbiaa.
 
sasa weweee.....
umepagawa?
Piga kula mkuu!:

umezoea wakenya kukichanganya na kizungu/sheng, ndio maana. kiswahili ni kimoja
Kiswahili sii kimoja. Kuna lahaja tofauti. Naweza ongea Kiswahili sanifu lakini lahaja ya Kenya itafanya ujue nimetokea Kenya. k.m, Bibi kwenu ni grandmother, kwetu ni wife. Kwetu grandmother ni nyanya na yote ni sanifu na yako hadi kwenye kamusi. Acheni kujiona Kiswahili chenu ndio bora.
 
sawia na kuruka mkojo na kuangukia mavi. Tanzania ndio hotbed of witchcraft bro... huko utakutana na mazingaombwe ya kufa mtu. kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…