Mkenya pekee anayejua mziki

Hata lunyamila alianza mpira kipind messi hajazaliwa

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Bishana mpaka asubuhi lakini huyu jamaa lazima atakua amekua in touch Sana na mziki wa Bongo au ameskiliza nyimbo za Bongo sana, Watu wa pwani iwe Mombasa au wapi hawana hicho kiswahili wala hawaimbi hivyo, hiyo ni BongoFlava ina represent TZ .
Iko hivi.. Mombasa hizo genge au mtu anaongea kiswahili cha kikora kile cha Nai huwa wanaona ni ushamba. Mombasa kuanzia Bongo movie, taarabu za kina isha mashauzi, bongo fleva ndiyo zao. Tv za bongo zinatizamwa sana huko na Azam Tv anafanya vizuri sana Mombasa. Huyo Otile amesikiliza Bongo fleva toka akiwa mdogo na wanamuziki wote wa Mombasa wana imba kwa style hiyo the likes of Nyota ndogo. Binafsi napenda wanavyo imba hasa Sanaipei
 
Exactly, Sasa naona ndugTony254 akisoma hii ataelewa vizuri, Kenya hawana hicho kiswahili, hiyo ni Mali ya Tz wanajimilikisha tu_
 
kenya kumbe kuna underground wengi kiasi hichi... huyu nae anaimba utumbo gani?
 
Mi napenda wakenya waendelee kuongea kiswahili chao kile, nakifurahia Sana, siishi kucheka nikiwaskiliza, they sound very funny, kuna channel inaitwa Maisha Magic East kwenye DSTV wanaonyeshaga tamthilia za Kenya, huwaga nacheka sana
 
nilikuw najarbu kufatilia ila nikawa sielew wanaingea lugha gan maana unakuta wanachangany lugha zaidi ya moja kitu ambacho si kizuri kwenye sanaa
 
nilikuw najarbu kufatilia ila nikawa sielew wanaingea lugha gan maana unakuta wanachangany lugha zaidi ya moja kitu ambacho si kizuri kwenye sanaa
Hahaa, mimi Niko interested na jinsi wanavyoongea tu, jinsi wanavyokiharibu kiswahili, ni Kama wameunda lugha nyingine inayofanana na kiswahili.
 
Unazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
Kijana acha kumfananisha falid na takataka
 
Otile Brown anajua sana..Vera na Baby love nazielewa sana
 
Mi napenda wakenya waendelee kuongea kiswahili chao kile, nakifurahia Sana, siishi kucheka nikiwaskiliza, they sound very funny, kuna channel inaitwa Maisha Magic East kwenye DSTV wanaonyeshaga tamthilia za Kenya, huwaga nacheka sana
hahahaha hata mimi huwa natazama maisha magic ya watanzania nacheka sana.... hio ndio advantage ya tofauti kati ya kiswahili chetu na kiswahili cha wabongo...
 
Mm ni mbongo mzee, tena pure, Ngosha namkubal lakin hagus kwa huyu jay z wa bara la afrika. Khaligraph Jones ni habar nyingine asee

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Nadhani hii comment imejiandika. Kama sio badiliaha simu na mawazo yako yatabadilika. Khaligraph anapiga kelele tu.
 
Vera Sidika ni moto sana yule mtoto ki ukweli hata mimi mwenyewe nilikuwa namuonea wivu. Elizabeth Michael wangedumu pengine ila Hamisa pasua kichwa sidhani kama angemfaa

Hamisa ni slay queen tu ambaye hana mvuto wa mapenzi ,lakini ndio hivyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…