Mkenya pekee anayejua mziki

Mkenya pekee anayejua mziki

Papaa Jones yuko poa ila unakosea sana kuwataja wakina Fid na kusema Jones ni role model wao. Fid Q ameanza game huyo khaligraph ata studio aja ingia. Roma na Fid q hawawezi kusema role model wao ni Khaligraph ila ni mtu ambae wana kubali kazi zake na wamesha fanya kazi pamoja. Role model wa young killer ni Fid Q
Hata lunyamila alianza mpira kipind messi hajazaliwa

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Bishana mpaka asubuhi lakini huyu jamaa lazima atakua amekua in touch Sana na mziki wa Bongo au ameskiliza nyimbo za Bongo sana, Watu wa pwani iwe Mombasa au wapi hawana hicho kiswahili wala hawaimbi hivyo, hiyo ni BongoFlava ina represent TZ .
Iko hivi.. Mombasa hizo genge au mtu anaongea kiswahili cha kikora kile cha Nai huwa wanaona ni ushamba. Mombasa kuanzia Bongo movie, taarabu za kina isha mashauzi, bongo fleva ndiyo zao. Tv za bongo zinatizamwa sana huko na Azam Tv anafanya vizuri sana Mombasa. Huyo Otile amesikiliza Bongo fleva toka akiwa mdogo na wanamuziki wote wa Mombasa wana imba kwa style hiyo the likes of Nyota ndogo. Binafsi napenda wanavyo imba hasa Sanaipei
 
Exactly, Sasa naona ndugTony254 akisoma hii ataelewa vizuri, Kenya hawana hicho kiswahili, hiyo ni Mali ya Tz wanajimilikisha tu_
 
hahaha nakubaliana...mara ya kwanza kuskia wimbo wake kistaarabu nilidhani mtz....ila kazaliwa pwani ya Kenya na kulelewa huko so hakuna tofauti na mtz...ana sauti nzuri sana huyu jamaa...ila sikubaliani unaposema kuwa ndiye mkenya pekee anayejua mziki kisa anaimba bongo flava kwa sababu kuna watu hawaskilizi bongo kabisa...

Mi napenda wakenya waendelee kuongea kiswahili chao kile, nakifurahia Sana, siishi kucheka nikiwaskiliza, they sound very funny, kuna channel inaitwa Maisha Magic East kwenye DSTV wanaonyeshaga tamthilia za Kenya, huwaga nacheka sana
 
nilikuw najarbu kufatilia ila nikawa sielew wanaingea lugha gan maana unakuta wanachangany lugha zaidi ya moja kitu ambacho si kizuri kwenye sanaa
 
nilikuw najarbu kufatilia ila nikawa sielew wanaingea lugha gan maana unakuta wanachangany lugha zaidi ya moja kitu ambacho si kizuri kwenye sanaa
Hahaa, mimi Niko interested na jinsi wanavyoongea tu, jinsi wanavyokiharibu kiswahili, ni Kama wameunda lugha nyingine inayofanana na kiswahili.
 
Otile Brown anajua sana..Vera na Baby love nazielewa sana
 
Mi napenda wakenya waendelee kuongea kiswahili chao kile, nakifurahia Sana, siishi kucheka nikiwaskiliza, they sound very funny, kuna channel inaitwa Maisha Magic East kwenye DSTV wanaonyeshaga tamthilia za Kenya, huwaga nacheka sana
hahahaha hata mimi huwa natazama maisha magic ya watanzania nacheka sana.... hio ndio advantage ya tofauti kati ya kiswahili chetu na kiswahili cha wabongo...
 
Mm ni mbongo mzee, tena pure, Ngosha namkubal lakin hagus kwa huyu jay z wa bara la afrika. Khaligraph Jones ni habar nyingine asee

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Nadhani hii comment imejiandika. Kama sio badiliaha simu na mawazo yako yatabadilika. Khaligraph anapiga kelele tu.
 
Back
Top Bottom