Mkenya pekee anayejua mziki

Naomba mtu anieleze venye naezashare video from you tube to this topic. Nimejaribu mara mob but imenilemea.
 
Unazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
duh hayo ni maajabu!!!..monkeys katika ubora wenu!
 
Kali ni rapper bora afrika mashariki kwa mujibu wako,sio???..japokuwa ni mkali lakini bado ana kazi ya kufanya!
 
Wewe unatetea utanzania, mm natetea muzik. Fid q mwenyewe role model wake ni khaligraph

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
unajua maana ya role model??? ..hivi unajua rap anayochana kali na fid ni tofauti??rap ya shorobwenzi,Roma,killer ni tofauti sana na Kali Jones!!
Kali hawezi kuwa role modo wa wasanii hao uliowataja yeye ni upcoming rapper,lakini hao akina fid,stamina,roma ni legends,Kali kabla hajatoka alukuwa akimsikiliza sana young killer..Kali si msanii mkubwa kihivyo unavyomdhania!
 
jamaa inaonekana bado hajaujua vizuri mziki wa afrika mashariki,sio fid tu kaligraph kamsikiliza sana young killer,kaligraph hajaanza ku-trend killer tayari yuko kwenye game,ila Kali ni upcoming rapper!
 
Huzuni!! wakenya hawajui kuimba kabisa upuuzi gani huu hahahahahahahaha akauze tu sambusa.
 
Naomba mtu anieleze venye naezashare video from you tube to this topic. Nimejaribu mara mob but imenilemea.
I see a damsel in distress, (if you aint one ignore). [emoji1] Kama hii jam kali ya zamani kidogo ya Khaligraph Jones- Yego akimsifia mwanariadha mrusha mikuki Julius Yego. Copy my format, or cut copy the code of your desired youtube video after view= then paste inbetween the bb code like indicated on the example I put up there. Alafu nangoja za macho.
 
Akiendelea kuimba kwa mtindo huu ahamie usa, la sivyo hawezi shindana na Young killer. Mko vizuri kwa markerting na branding ila product kutengeneza hamjui.
 
Make your research sio do your research.
 
Mkenya anayejua mziki
1. Khaligraph jones
2. Kingkaka
3. Huyu wa wimbo wa malaika na mungu pekee sijui Nyanshiski
4. Hakuna mwingine
 
Unazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
mkuu achana na Fiq, kama ndio umemfahamu leo kausha.
Watu tunamuelewa toka enzi hizo Kaligraph hajui hata studio huwa pakoje
 
Naomba mtu anieleze venye naezashare video from you tube to this topic. Nimejaribu mara mob but imenilemea.
nenda kwenye youtube video unayoitaka copy link na uipost hapa.
 
Kuna ngoma ya nyashiski inaitwa Kebs bomba la track

Sauti soul, p unit, papa jones wanajua sana
 
Otile huyu wa vera au???
Mkuu rudi tu usingizini
 
Otile anabana pua sana,ila ni mtunzi mzuri,nyimbo zake hazichoshi
 
Wakenya wanaiba mziki wetu wa BongoFlava taratibu,

Yani huyo anaimba Bongoflava pure kabisa. Kaiga kuanzia kiswahili hadi Mashairi.

Ukiskiliza unaweza ukafkiri Kama underground wa Bongo kumbe mkenya
Ako na kiswahili kizuri juu ni wa Mombasa. Wananzengo wa Mombasa huwa na kiswahili fasaha sana juu kule ni pwani.
 
Make your research sio do your research.
Yote sawa, do your research,make your research...kwa msaada wa google nimeona niko sawa aisee teh teh
 
Hii ndio upuzi sitakangi. Wapwani wa Kenya wana kiswahili kitamu kushinda hao wabongo unaowashobokea hapa. Kiswahili kilianza pwani mwa Kenya. Soma vitabu vya historia.
Na wenyewe walishajisemea pwani sio Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…