Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Sawa ila 80%ya wanamuziki safi wapo Tanzania,70% ya video za nyimbo za kibongo huwa zinarecord-iwa Nairobi. Hii ni kwasababu kuwa miundombinu ya kisasa ya kurecordi inapatikana hapa Nairobi.
Sawa ila 80%ya wanamuziki safi wapo Tanzania,
hapa tuseme tu kuwa 'starehe ya kuku sio ya bata'
kwangu, bongo nawatambua tu Kiba na Diamond. wengine wote hawafiki bei.
Hubris!!Hawa wawili ni wa free Mason. Zari alimwanika diamond live kwa BBC swahili kwamba yeye ni illuminati. That's why I love Kenya
Most kenyans depend on God for breakthroughs.
Kweli kabisa.hiyo nd the only lulu waliyonayo kenya
Sasa khalighraph ni Rapper bora Africa kwa lipi?Unazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
Siamini ila najua wako ndio unaona ajali nyingi barabarani damu inamwagika. Watu wanatolewa kafaraHubris!!
anyone who believes in illuminati nonsense, should have his/her head checked.
Lazima utakuwa na kichaa70% ya video za nyimbo za kibongo huwa zinarecord-iwa Nairobi. Hii ni kwasababu kuwa miundombinu ya kisasa ya kurecordi inapatikana hapa Nairobi.
hivi uko sawa kweli?? tuko 2018 my friend, hizi ni fikra za 1990's.Siamini ila najua wako ndio unaona ajali nyingi barabarani damu inamwagika. Watu wanatolewa kafara
Khaligraph kwa East afrika kwa lipi kana?Currently, Kaligraph Jones ndie rapa bora east Africa, Sauti Sol ndio kundi bora la muziki east Africa na pia Nyanshiski anazidiwa na wakali wachache wa hapa bongo.
Kusema Otile brown ndie mkenya pekee anaejua mziki ni kuongopa!
I would choose Nyanshiski over Otile anytime!
Wakenya mna kiswahili gani bhana na nyie mnapenda kubisha hata yasiyobishika.Hii ndio upuzi sitakangi. Wapwani wa Kenya wana kiswahili kitamu kushinda hao wabongo unaowashobokea hapa. Kiswahili kilianza pwani mwa Kenya. Soma vitabu vya historia.
ila sio zaidi yako!Lazima utakuwa na kichaa
Sidhani kama unaandika ukiwa unamaanisha.Wewe unatetea utanzania, mm natetea muzik. Fid q mwenyewe role model wake ni khaligraph
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Kwenye sanaa yamusic Bongo tunajitahidi saana kuwazidi wenzetu wa afrika mashariki asikuambie mtu.Bongo tuna ma staa watokanao na muziki mbovu ukilinganisha na kiwango cha muziki uliopo sasa Africa na duniani.
Uandishi ndio sifuri kabisa..
Kwenye show tuna mmoja tuu..
Waliobaki wanasubiria kuswaga kwenye costa wazunguke tz nzima kwa kipimo cha kujaza mashabiki waliokuja kuwaona wasanii ishirina kadhaa kwa mpigo.
Kama Mimi tu yaniIko hivi.. Mombasa hizo genge au mtu anaongea kiswahili cha kikora kile cha Nai huwa wanaona ni ushamba. Mombasa kuanzia Bongo movie, taarabu za kina isha mashauzi, bongo fleva ndiyo zao. Tv za bongo zinatizamwa sana huko na Azam Tv anafanya vizuri sana Mombasa. Huyo Otile amesikiliza Bongo fleva toka akiwa mdogo na wanamuziki wote wa Mombasa wana imba kwa style hiyo the likes of Nyota ndogo. Binafsi napenda wanavyo imba hasa Sanaipei
Kwenye sanaa yamusic Bongo tunajitahidi saana kuwazidi wenzetu wa afrika mashariki asikuambie mtu.
Hawa unaowaona wabovu ndiyo hao hao wanasikilizwa Kenya. Uzuri nimeishi kenya... Enzi hizo KBC wana kipindi wanakiita KETAU express wanapiga nyimbo za bongo mwanzo mwisho.
Na wao mtaani nyimbo za Bongo wanazipenda hatari... Leo mwambie King kakaahamie Tz afanye sanaa uone kama atatoboa...lakini kina solomoni mkubwa, kina Husein machozi, Rose mhando kule Kenya wanapeta na wanapendwa saana...ila huku washachokwa.