Mkenya pekee anayejua mziki

Mkenya pekee anayejua mziki

Bongo tuna ma staa watokanao na muziki mbovu ukilinganisha na kiwango cha muziki uliopo sasa Africa na duniani.
Uandishi ndio sifuri kabisa..
Kwenye show tuna mmoja tuu..
Waliobaki wanasubiria kuswaga kwenye costa wazunguke tz nzima kwa kipimo cha kujaza mashabiki waliokuja kuwaona wasanii ishirina kadhaa kwa mpigo.
 
Hawa wawili ni wa free Mason. Zari alimwanika diamond live kwa BBC swahili kwamba yeye ni illuminati. That's why I love Kenya
Most kenyans depend on God for breakthroughs.
Hubris!!
anyone who believes in illuminati nonsense, should have his/her head checked.
 
Unazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
Sasa khalighraph ni Rapper bora Africa kwa lipi?
 
nshiski anajitahidi saana.

Ila habadiliki.
 
70% ya video za nyimbo za kibongo huwa zinarecord-iwa Nairobi. Hii ni kwasababu kuwa miundombinu ya kisasa ya kurecordi inapatikana hapa Nairobi.
Lazima utakuwa na kichaa
 
Currently, Kaligraph Jones ndie rapa bora east Africa, Sauti Sol ndio kundi bora la muziki east Africa na pia Nyanshiski anazidiwa na wakali wachache wa hapa bongo.

Kusema Otile brown ndie mkenya pekee anaejua mziki ni kuongopa!

I would choose Nyanshiski over Otile anytime!
Khaligraph kwa East afrika kwa lipi kana?

Khali ni Rapper tu kama alivyo Octopii..

Nshiski sawa...ila anabore hachange mazee ni yule yule.

BTW;music ni feelings ni vyenye unakutouch.
 
Hii ndio upuzi sitakangi. Wapwani wa Kenya wana kiswahili kitamu kushinda hao wabongo unaowashobokea hapa. Kiswahili kilianza pwani mwa Kenya. Soma vitabu vya historia.
Wakenya mna kiswahili gani bhana na nyie mnapenda kubisha hata yasiyobishika.

Msanii gani anaweza kuimba kiswahili kilichonyooka kenya kama wanavyoimba vijana wetu karibu wote. Kenya kiswahili No. japo mnajitahidi
 
Lazima utakuwa na kichaa
ila sio zaidi yako!

***mbona tusiweke challenge,~ post nyimbo yoyote ya kikenya iliyo kuwa produced bongo pamoja na video na mimi niweke nyimbo za bongo zilizo kuwa produced Kenya pamoja na video.
 
Bongo tuna ma staa watokanao na muziki mbovu ukilinganisha na kiwango cha muziki uliopo sasa Africa na duniani.
Uandishi ndio sifuri kabisa..
Kwenye show tuna mmoja tuu..
Waliobaki wanasubiria kuswaga kwenye costa wazunguke tz nzima kwa kipimo cha kujaza mashabiki waliokuja kuwaona wasanii ishirina kadhaa kwa mpigo.
Kwenye sanaa yamusic Bongo tunajitahidi saana kuwazidi wenzetu wa afrika mashariki asikuambie mtu.

Hawa unaowaona wabovu ndiyo hao hao wanasikilizwa Kenya. Uzuri nimeishi kenya... Enzi hizo KBC wana kipindi wanakiita KETAU express wanapiga nyimbo za bongo mwanzo mwisho.

Na wao mtaani nyimbo za Bongo wanazipenda hatari... Leo mwambie King kakaahamie Tz afanye sanaa uone kama atatoboa...lakini kina solomoni mkubwa, kina Husein machozi, Rose mhando kule Kenya wanapeta na wanapendwa saana...ila huku washachokwa.
 
Iko hivi.. Mombasa hizo genge au mtu anaongea kiswahili cha kikora kile cha Nai huwa wanaona ni ushamba. Mombasa kuanzia Bongo movie, taarabu za kina isha mashauzi, bongo fleva ndiyo zao. Tv za bongo zinatizamwa sana huko na Azam Tv anafanya vizuri sana Mombasa. Huyo Otile amesikiliza Bongo fleva toka akiwa mdogo na wanamuziki wote wa Mombasa wana imba kwa style hiyo the likes of Nyota ndogo. Binafsi napenda wanavyo imba hasa Sanaipei
Kama Mimi tu yani
 
Kwenye sanaa yamusic Bongo tunajitahidi saana kuwazidi wenzetu wa afrika mashariki asikuambie mtu.

Hawa unaowaona wabovu ndiyo hao hao wanasikilizwa Kenya. Uzuri nimeishi kenya... Enzi hizo KBC wana kipindi wanakiita KETAU express wanapiga nyimbo za bongo mwanzo mwisho.

Na wao mtaani nyimbo za Bongo wanazipenda hatari... Leo mwambie King kakaahamie Tz afanye sanaa uone kama atatoboa...lakini kina solomoni mkubwa, kina Husein machozi, Rose mhando kule Kenya wanapeta na wanapendwa saana...ila huku washachokwa.

hao ulio wataja hapo wanakuja Kenya sababu ya hela! show hapa Kenya zinalipa maradufu zaidi ya nchi zingine ukanda huu. Mziki wa Kikenya pia target market sio tz.
Kwa mfano, msanii kama Redsan anafanya mziki unao hit Caribbean na North America na anatop charts kule Jamaica lakini labda hajulikani bongo.
 
Back
Top Bottom