MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nitafikiwa lini jameni, hebu tuambiwe wapi tupange foleni, sisi tumeelimika na tunafuata mbinu za kisayansi, hatupo radhi kutolewa kafara kwa misingi ya imani ya mtu mmoja, jameni dini zipo nyingi na kila mtu ana imani yake na Mungu wake, ila serikali ipo kwa ajili ya kuongoza kwa misingi ya ksayansi maana muundo wote wa dola ni sayansi, hata cheo cha rais kimebunwa kisayansi na katiba imeandaliwa kisayansi hivyo nina haki za kutibiwa kisayansi (waliobobea kwenye Social science wanaweza wakadadavua zaidi).
Mimi ni Mkristo, namuamini Mungu wangu ila hiyo ni imani yangu binafsi na haimuhusu hata mke wangu au jirani yangu, hivyo hatulazimishani kwenye itikadi za kiimani, na tukifanya hivyo hatutakua tofauti na alshabaab ambao hukata watu vichwa wasio amini katika miungu yao.
========================
Health Acting Director General Dr Patrick Amoth receives the Covid-19 vaccine on Friday, March
Health Acting Director General Dr Patrick Amoth on Friday, March 5, became the first in Kenya to receive the Covid-19 vaccine.
In the full glare of the cameras, Amoth took the jab, Oxford/AstraZeneca vaccine, at the Kenyatta National Hospital (KNH) in Nairobi.
Also vaccinated is Dr. Collins Tabu who heads the Ministry of Health Division for Vaccines and Immunization Programme (DVI).
The vaccines were flagged off by President Uhuru Kenyatta on Thursday, March 4. Kenyatta assured that the jab had passed all the necessary tests and had the blessings of medical experts.
More to follow...
www.kenyans.co.ke

Patrick Amoth First to Get Covid-19 Vaccine in Kenya
Acting Health Director General Dr Patrick Amoth on Friday, March 5, became the first person in Kenya to receive the Covid-19 vaccine.