Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Imagine mkeo au demu wako kakukimbia halafu baada ya muda flani anakutumia msg ya kukuomba hela je utampa? Ukimpa kwanini?

Usipompa kwanini?
 
Usipompa atapewa na wengine
Na ukimpa anampa mwingine chaguo lako
Ni ngumu kuishi nao ujue na kama una akili ya kuvukia barabara tu Basi
 
Mambo ya Ukrain ,walituna sasa wanaomba poo...

Na Mzee Put kasema hamna poo mpaka iwe koo...

Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu alituasa wakiumeni tuishi nao kwa akili..

Mosi..Kakimbia hukutakiwa kumkimbiza, Pili aliemdanganya kamuona sio anatafuta njia ya kuludi mpotezee.....
 
Ukimtumia hatajifunza kitu,hataona utofauti wa kuwa karibu na wewe na kuwa mbali nawewe,kwakifupi hatarudi maana haoni pengo lako.
 
Sitompa Kwa sababu aliamua mwenyewe Kwa akili yake kujipiga vikwazo vya kiuchumi, Kijamii n.k.




Mwenyewe sahizi Kuna Mke wamtu, anaomba nmsaidie elfu thelathin .




Sijui nmpe ?.
Hahahahahaha mpe mzee ila jiandae kuombwa upewe malipo ya fadhila a.k.a mbunye
 
Mtumie viatu ili asikimbie peku. Aanze kukimbia na viatu
 
Unamtumia ili ajifunze kuwa wema hauozi na mabaya hayalipwi kwa mabaya. Nafsi itamsuta ataumia na hatakuwa na la kufanya
Mkuu unazungumzia zama gani? Cku hizi nafsi ilishaacha kusuta watu
 
Tumeachana na hatujagombana, kikubwa tu tutakua tumeacha kuweka mapenzi kati yetu ila upendo wa kawaida na kusaidiana ni pw tu mbona.

Nampa hela fresh kabisa maana siwezi muacha ateseke ati tu kisa tumeachana, maybe kama kiwango cha pesa anachoomba hakiko ndani ya uwezo wangu kwa wakati huo
 
Back
Top Bottom