Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

Inategemeana km ni siku hiyohiyo nitampa ila km alilala imekula kwake akirudi afungashe na virago vyake.
 
Imagine mkeo au demu wako kakukimbia halafu baada ya muda flani anakutumia msg ya kukuomba hela je utampa? Ukimpa kwanini?

Usipompa kwanini?
Zamani nilikuwa na utoto wa mpe ndio ataumia vizuri, ila kwa sasa kila mtu ashinde mechi zake... Akiomba tu namtumia niliyenaye sasa kiasi kile kile alichoomba yeye na ya kutolea halafu nascreenshot namtumia copy whatsapp namuambia sorry nilifikiri kaomba huyu babymama wangu wa sasa nikamtumia sababu wote nilisave mysoup.
 
Mkeo wa ndoa au hawa wasimbe tunaookota mitaani tu?
 
Back
Top Bottom