HahahahahahahahNiliwahi kugombana na wife kwa hasira akanipeleka kituo cha polisi eti afande atusuluhishe,basi afande akasikiliza nilichomtenda wife.
Akakasirika na kuanza kunipiga na kirungu,wife kuona vile akamrukia afande ili aniache, ilikuwa patashika,yaan kwa mbaaali nikatambua my wife ananipenda
Ishu ikawa hivo yaan tulivyorudi home hakuna aliyemkumbushia mwenzake na toka siku hiyo mapenzi yakawa maradufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mke usimuache hahaaaNiliwahi kugombana na wife kwa hasira akanipeleka kituo cha polisi eti afande atusuluhishe,basi afande akasikiliza nilichomtenda wife.