Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Mwanamume mmoja nchini Kenya ameshushiwa kipigo na majirani huku mke wake wa ndoa akishangilia
Mwanaume huyo ambaye alikuwa amelewa alianza kumbugudhi mke wake kwa matusi na kelele ambapo majirani waliamua kuingilia kati na kuanza kumpa vichapo vikali ambapo mke wake alishindwa kuvumilia kukaa kimya na kuanza kuangua vicheko vya furaha kwa kichapo ambacho mume wake alikuwa anapewa na majirani hao