Mkeo akiwa na mtoto Mchanga

Mkeo akiwa na mtoto Mchanga

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Nimewahi kusikia mkeo akiwa na mtoto mchanga hutakiwi kufanya nae tendo la ndoa, eti utamwalibu mtoto; Je, ni kwa muda gani?
Pia ukichakachua nje ya ndoa unaweza kumwalibu mtoto;wengine wanasema, kama umechakachua nje alafu hujaoga mpaka umemshika mtoto na wengine wanasema hata kama utaoga mtoto ataharika tuu; je, hili linaukweli kiasi gani?
JF members lets share xperience
 
Back
Top Bottom