Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Uzuri nikikoroma hasira ikiisha nakuomba msamaha na kukubembeleza tena.

Halafu nimejifunza mkitofautiana, mkaombana msamaha...mkimalizia na mechi za kirafiki ni tamu haina mfano[emoji23]
Basi the best part ni hapo pa kuombwa msamaha na kubembelezwa raha sana acha tuu.....sasa mwanaume mpole umekosea wewe anaomba msamaha yeye lini mtapiga game ya kibabe maana hamtakaa mkasirikiane kamwe
 
Umesema jambo kubwa sana

Natamani kila mtu angekuwa namtazamo huu matukio ya ukatili, usaliti yasingekuwepo Upendo ungeongoza kila kitu na Amani ingetawala

Be blessed kwa somo hili🙏
Kwa njaa za Iphone, shopping na kuvimba na mitoko huko snapchat na insta ni ngumu sana kufanikiwa kwa njia hii 🤣🤣🤣
 
Mwanamke akupende ukiwa kapuku huyo unahisi utampa nini zaidi ya kumrudshia upendo aliokupa mara mbili?

ana stahili upendo wangu maana kwa ufukara huu,ukapuku huu,ugoi goi huu na bado alinipenda,asee alijitoa muhanga.
Kama ni goigoi na bado anakupenda hivyo hivyo she a keeper. Kamatia humo humo.
 
Unamchezea mkuu wa wilaya shere au sio 🤣
 
kumbe DC MTAMUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…