Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Kuwa makini sana
Ushauri wangu kwako kama kijana mwenzangu, Hakikisha mwanamke anakupenda yeye zaidi ya wewe unavyo mpenda wewe hii itasaidia kukuondolea hofu ya kumpoteza au hofu ya kuwa mbali naye. Hii principle itakusaidia sana mbeleni

Mwanamke kumpenda mwanamme ni kiherehere tu na kutokujiamini. Kazi ya kupenda kapewa mwanamme. Mwanamke kazi yake ni kumtii na kumheshimu mwenza wake.
 
Back
Top Bottom