Mkeo- kanga moko tepe - tepe

Mkeo- kanga moko tepe - tepe

kabye

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
355
Reaction score
39
WF; je iko sawa hii situation kuluusu MKEO/MCHUMBA kuvaa kanga-moko tepe-tepe na kwenda kwenye maonyesho ya kukata MAUNO mbele ya watu.

Mind you: Uyu MKEO/MCHUMBA, kila kitu kinaonekana njenje au tepwe tepwe

Naombeni wf, tulijadili kwa pamoja
 
duh! We jamaa yaani ni mjinga sana, unamruhusu mkeo kufanya ujinga huo, tena pumbavu sana!
 
bado mdogo, subili ukuwe utajuwa, acha kula chabo kalale mapema kesho uwai shule mwanangu
 
duh! We jamaa yaani ni mjinga sana, unamruhusu mkeo kufanya ujinga huo, tena pumbavu sana!

sikia mkuu, siyo kila mada inayo kuja apa air silazima iwe skendo yako apa tuna elimishana tu

kuwa uyaone
 
WF; je iko sawa hii situation kuluusu MKEO/MCHUMBA kuvaa kanga-moko tepe-tepe na kwenda kwenye maonyesho ya kukata MAUNO mbele ya watu.

Mind you: Uyu MKEO/MCHUMBA, kila kitu kinaonekana njenje au tepwe tepwe

Naombeni wf, tulijadili kwa pamoja

Unaona mkia wa mbwa halafu unauliza makalio yako wapi? Unataka tujadili nini sasa?
 
mi nadhan ni vizuri tu ili aje atuonyeshe ambao wake zetu hawawezi hivyo vitu..
 
huyo sio mke..hajamaliza ujana wake muache mwenzako ili akamalizie ujana wake
 
Wewe unategemea nini...kama unaona ni sawa kwanini unauliza tena. Use your subconcious mind!
 
[/B][/COLOR]sikia mkuu, siyo kila mada inayo kuja apa air silazima iwe skendo yako apa tuna elimishana tu

kuwa uyaone
Kiswahili chenyewe unachoandika hakieleweki, utamuelimisha nani??/
 
Back
Top Bottom