Mkeo ni mzazi wako

Mkeo ni mzazi wako

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa kwanza kwa mkewe. Na hii imethibitika katika jamii zetu, mke kuitwa mama fulani (jina la mume). Mfano, kama mwanaume anaitwa Hussein, mkewe kabla ya kupata mtoto ataitwa mama Hussein.

Kwa hiyo wewe mwanaume, mkeo ni mama yako. Kama hutaki, acha kunyonya maziwa.
 
Mama mzazi hana mbadala mkeo anaweza kukuacha akasepa ila mama hata iweje atakulea hata awe mzee wewe utalelewa nae tu
 
mama yangu hawezi kuniwekea limbwata nimpende
mama nampenda kama alivyo, same goes to her.

mke = na mama? hata kipofu akisoma atafumba macho

mtoa mada mwisho huu wa mwaka rudi kwenu ukaoge unachezewa akili. kwa kifupi hauko sawa
Asipoufanyia kazi huu ushauri asije kutusumbua kuomba ushauri badae

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
mama yangu hawezi kuniwekea limbwata nimpende
mama nampenda kama alivyo, same goes to her.

mke = na mama? hata kipofu akisoma atafumba macho

mtoa mada mwisho huu wa mwaka rudi kwenu ukaoge unachezewa akili. kwa kifupi hauko sawa
Njia pekee ya kumkana, ni kubadili tabia tu
 
Back
Top Bottom