Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mama mzazi hana mbadala mkeo anaweza kukuacha akasepa ila mama hata iweje atakulea hata awe mzee wewe utalelewa nae tuWanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa kwanza kwa mkewe. Na hii imethibitika katika jamii zetu, mke kuitwa mama fulani (jina la mume). Mfano, kama mwanaume anaitwa Hussein, mkewe kabla ya kupata mtoto ataitwa mama Hussein.
Kwa hiyo wewe mwanaume, mkeo ni mama yako. Kama hutaki, acha kunyonya maziwa.
Kwa nini unanyonya maziwa yake?Mtoa mada usimfananishe mama yangu na mtoto wa mamamkwe
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Huwa nazisisimua chuchu zake tu sio kunyonya maziwa yake,mamaangu ndio alikuwa ananinyonyeshaKwa nini unanyonya maziwa yake?
Kwa nini unanyonya maziwa yake, na kwa nini usinyonye kwa tumbili n.k?Mama mzazi hana mbadala mkeo anaweza kukuacha akasepa ila mama hata iweje atakulea hata awe mzee wewe utalelewa nae tu
Tupo kwenye mkesha mkuuMkuu leo umechemka
Kama wanataka isiwe hivyo, waache hii tabiaKuna vita unaitafuta!😂
Asipoufanyia kazi huu ushauri asije kutusumbua kuomba ushauri badaemama yangu hawezi kuniwekea limbwata nimpende
mama nampenda kama alivyo, same goes to her.
mke = na mama? hata kipofu akisoma atafumba macho
mtoa mada mwisho huu wa mwaka rudi kwenu ukaoge unachezewa akili. kwa kifupi hauko sawa
Hizo ulizokunywa zinatosha sasa mkuu, rudi home ukapumzike mkeo anakusubiriTupo kwenye mkesha mkuu
Akipita kwenye huu uzi, ujiandae kupigwa ban ya tendoHuwa nazisisimua chuchu zake tu sio kunyonya maziwa yake,mamaangu ndio alikuwa ananinyonyesha
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Atakuwa amenisaidia kufwata nyendo za kristoAkipita kwenye huu uzi, ujiandae kupigwa ban ya tendo
Njia pekee ya kumkana, ni kubadili tabia tumama yangu hawezi kuniwekea limbwata nimpende
mama nampenda kama alivyo, same goes to her.
mke = na mama? hata kipofu akisoma atafumba macho
mtoa mada mwisho huu wa mwaka rudi kwenu ukaoge unachezewa akili. kwa kifupi hauko sawa