Nasikia dada yako da'Mange keshafeli na maandamano yake huko marekanišHii siku hakuna wanayoyajua hata waliopo madarakani wanatamani kujua ila hii siku imebeba mengi mno.
Ila pia maandamano yamekuwa maarufu kuliko hata uchaguzi wenyewe sasa
Huu uchaguzi lazima watu watakufa.
Kama tu uchaguzi mdogo mambo yalikuwa mabaya huu si ndiyo balaa kabisa.
Kwanini mkuu asitoke hadharani kuwaambia hawa walinzi wa raia na Mali zao wasitumie silaha kabisa siku ya uchaguzi?
MUNGU bariki Tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Kwani uchaguzi mdogo kulikuwa na maandamano mpaka mkaua watuMnataka kuleta fujo kuharibu uchaguzi halafu mnataka wasitumie silaha.
Mkitaka wasipate sababu ya kutumia silaha bas andamaneni kabla ya uchaguzi au baada ya uchaguzi
Kuandamana siku ya uchaguzi lazma mpigwe kwa silaha za moto, ni
Tukaua na nani? Usinijumuishe mimi kwnye politics zenu. Me sishabikii siasa zozote wala sina chama, hata chaumma au tesha wachukue nchi sawa tu. Hata wewe uwe raisi ni sawa tu kwanguKwani uchaguzi mdogo kulikuwa na maandamano mpaka mkaua watu