Mkesha wa Mwaka mpya DA & BE katika beach moja Kigamboni!

Mkesha wa Mwaka mpya DA & BE katika beach moja Kigamboni!

Gud Girl hujambo?

Mkesha ni saa ngapi vile?

hahahah lol we ndo umeamka au unalala ndugu yangu ..
mmmmhh mie bado niko huku huku ulikoniacha lol
hahahahahhaah lol

Vipi bibie Dena anaendeleaje???
 
hahahah lol we ndo umeamka au unalala ndugu yangu ..
mmmmhh mie bado niko huku huku ulikoniacha lol
hahahahahhaah lol

Vipi bibie Dena anaendeleaje???

Bado tunakesha tu! hajambo kabisa na anakumiss sana! Bado hatujalala!
 
Bado tunakesha tu! hajambo kabisa na anakumiss sana! Bado hatujalala!

mmmhh kwa kweli raha za mwaka mpya hizo.....
safi sana ..
kwa kweli nyie ndo pete na kidole lol

hata mie ni me m miss sana yaana...
vizuri kusikia anaendelea vizuri ....
tunamsubiria kwa hamu sana...
 
Mh!imetulia kweli kweli !vipi walikuwa kwenye maji?
 
Back
Top Bottom