Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 141
huyu ndo actress na mumewe ndo actor mwenyewe...yaani ndo mr n mrs smith kama unawajua brad pitt na angelina jolie...kwanza mumewe amejiuzulu ili wasiendelee kuchimba zaidi kwani jamaa ana mambo ya kifisadi kibao...
Exactly my sentiments, unfortunately Lowassa ataendelea kuchukua fungu mpaka kesho na hamna lolote litakalofanyika.Na ataendelea kuwa influential under the radar kama mbunge wa Monduli.
Just the sad truth.