sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
Just pure stupid hatred towards KenyaHalafu county iliyosalia ni Nairobi ambayo ni metropolitan. Huyo huyo Msukuma ndiye huwa anashabikia Magufuli kwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwao kijijini kule Chato, ilhali hiyo Chato haina umuhimu wowote wa kutembelewa na wageni wa kimataifa.