Mkewe RZ1 alipopata uwakili

hongera sana, naona unaifanya kazi yako vizuri sana!!

Thanks a lot for complement nahisi wameona hii comment waniongezee mshahara hichi ni kipindi cha salary review
 
this is too much jaman,cant she make it on her own?au kuolewa ukoo huo ndo iwe tatizo...........hongera mwaya,kwa mumewe nakubali coz namjua kielimu pale kwenye milima yetu.....
 
Rex attorneys were defending tanesco on dowans case...hongera Arafa, Rex is a good law firm
 

atumie uwakili/uanasheria wake kutetea maslahi ya nchi na si kupapatikia mali (baadhi ya mali ambazo nasikia zinapatikana isivyo halali)!!.
 
Ndio yale ya samaki 1 akioza..... Kama ameupata kwa kichwa chake apongezwe jamani...!!!
 



Ni juhudi binafsi siyo miaka uliyokaa baada ya kumaliza chuo. kama ilivyo kwa wengine ni ma CE0 na Ma MD japo wamemaliza chuo hivi karibuni.
 
Huyu binti ni mchapa kazi na amejitahidi sana hadi kufikia hapo ila hiyo kibande ingine ya viherehere mmhh!:help::help:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…