Takwimu zinaonesha kwamba; mchezaji yoyote alieachwa na mzee Wenger kwa shingo upande basi huwa hana muda mrefu wa kupafomu uwanjani kama alivyokuwa arsenal.... Mfano mzuri ni Alex song, adebayor, fabregas, van Persie, nasri, Thierry henry, hleb nk wote hao Mara tu baada ya kuondoka arsenal hawakuwika zaidi ya msimu mmoja...kama kuna anayebisha aweke data hapa!