radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Ukisikia mtu ka flop ina maana uwezo anao?Bad lucky zipo ila uwezo wa mtu unabaki palepale......hapa tubaki kwenye uwezo tu wa mchezaji na c vinginevyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia mtu ka flop ina maana uwezo anao?Bad lucky zipo ila uwezo wa mtu unabaki palepale......hapa tubaki kwenye uwezo tu wa mchezaji na c vinginevyo...
Wachezaji uliowataja waliflop...lakn uwezo wanao.....lakn con kama kuna utofaut wa sanchez wa barcelona na wa arsenal,wa aseno alilalazimishwa kucheza kutokana na arsenal ilivo,uhaba wa nani achezeUkisikia mtu ka flop ina maana uwezo anao?
Wewe wasema..Hata Wellbeck alifit kwenye mfumo wa Wenger kuliko RVP