Mmh ni ngumu sana yule wa moyoni aseme it’s over halafu muwe na mahusiano. Nitamchukia kwanza, kwa muda wa miaka miaka miwili atakuwa adui namba moja. Labda baada ya hapo.Kuna mapenzi na mahusiano...
Mapenzi, yameisha
Mahusiano, hayajaisha
...na ndio wanaoongoza kwa kupasha viporo wanapokuwa na mahusiano mapya.Kikubwa inategemea mliachanaje, sio wote waliachana kwa ubaya wengine huachana kwa kutokubaliana mambo flani flani. Hivyo baadae huishia kuwa marafiki wa kawaida
Hata kama yuko kwenye mahusiano mengine?
Kwahiyo unatunza kichwani wewe mkali!Sijawai kusave namba ya mpenzi
Kwahiyo hata mkeo akimegwa na ex wake hautajali maana nawe unamega ma ex wako!Ndio lazima nikikutana nae nile mzigo mana sijui huwa nakuwaga nina nini nikimwambia tu lazima anipe mambo
Siwezi kukataa wala kukubali mkuu, ila uhakika nilio nao ni kuwa inategemea na maturity, na uelewa wa hao watu wawili. Mfano nilioutoa nina uhakika nao kwa experience yangu binafsi. Asante...na ndio wanaoongoza kwa kupasha viporo wanapokuwa na mahusiano mapya.
Kwahiyo hata mkeo akimegwa na ex wake hautajali maana nawe unamega ma ex wako!
I admire you Becky[emoji39]hahaa unafuta number za simu,unam block insta and then unatumia jina linguine kum follow kwenye social media..lol
Njema kabisa, habari za kwako!Dada za siku??
Mmh ni ngumu sana yule wa moyoni aseme it’s over halafu muwe na mahusiano. Nitamchukia kwanza, kwa muda wa miaka miaka miwili atakuwa adui namba moja. Labda baada ya hapo.
Ndio lazima nikikutana nae nile mzigo mana sijui huwa nakuwaga nina nini nikimwambia tu lazima anipe mambo
Usiliite gugumaji, mtu mliyekuwa kwenye mahusiano ya kingono, anajua hadi kovu lako la katikati ya mapaja, usimuite gugumaji kisa tu mambo yameenda tofauti mkuu.Hiyo namba nitunze ya nini, ukiachana na gugumaji achana nalo kabisa unatunza ili iweje kwa mfano!
Njema kabisa, habari za kwako!