Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

Mm sifutagi namba sababu naona nitajidanganya tu ila nitaacha kumtafuta ila Siku nikiw na mood nampigia tunaongea hadi itafika kipindi nitaifuta na kumpotezea Moja kwa moja. Ndyo maana kama sina mtu mwingine siwezi kukubali kuachana naye nitambembeleza ata kujishusha uku natafuta backup nikiipata tu fast tu nakubali kuachika
 
Inaleta kigugumizi ila naamini si tatizo pia@Sky Eclat,
 
kuna dada tuliachana nikamwambia tubaki marafiki akakataa kata kata, mi nikawa namtext as a frnd matokeo yake akaniblock kila kona, nilichojifunza mnapoachana kuna1 hua karidhia then mwingine analazimika kitu ambacho hujenga chuki, hivo hakuna haja ya mawasiliano maybe upite muda mrefu
 
Kikubwa inategemea mliachanaje, sio wote waliachana kwa ubaya wengine huachana kwa kutokubaliana mambo flani flani. Hivyo baadae huishia kuwa marafiki wa kawaida
 
Unafuta no za simu kama kawaida ila siku ninapokutana nae nakula mzigo kama kawaida but tukimaliza kunjunjana kila mtu na hamsini zake ivyo ivyo ndio utaratibu ila hakuna kuwekeana attention mana tushaachana
 
Mimi sina ugomvi nao wote nina namba zao na wao wana namba zangu,, mmoja huwa hatuchat kabisa zaidi ya kila mtu kuishia tu kuview status za mwenzie ila mwingine huyo ndiyo karibu kila siku kunipigia simu na kunitumia meseji akiniomba turudiane..

Mimi binafsi bora nidelete tu namba ya mtu kuliko kublock yaani sijui kwanini but napenda eti nikiingia kwenye list yangu ya blocked contacts nikute 0 tu,, japo hao wote namba zao nilishazishika so hata nikizifuta bado ziko kichwani labda waamue kubadilisha tu..
 
Back
Top Bottom