Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
- Thread starter
- #21
Mmh ni ngumu sana yule wa moyoni aseme it’s over halafu muwe na mahusiano. Nitamchukia kwanza, kwa muda wa miaka miaka miwili atakuwa adui namba moja. Labda baada ya hapo.Kuna mapenzi na mahusiano...
Mapenzi, yameisha
Mahusiano, hayajaisha