Mimi sina ugomvi nao wote nina namba zao na wao wana namba zangu,, mmoja huwa hatuchat kabisa zaidi ya kila mtu kuishia tu kuview status za mwenzie ila mwingine huyo ndiyo karibu kila siku kunipigia simu na kunitumia meseji akiniomba turudiane..
Mimi binafsi bora nidelete tu namba ya mtu kuliko kublock yaani sijui kwanini but napenda eti nikiingia kwenye list yangu ya blocked contacts nikute 0 tu,, japo hao wote namba zao nilishazishika so hata nikizifuta bado ziko kichwani labda waamue kubadilisha tu..