Delight
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 360
- 414
Hapa pa urafiki, Mimi nikute hubby ana mawasiliano na mwanamke aniambie alikuwa girlfriend b4 me, sitamuelewa.
Sky kuna vitu vingine hupaswi kujua, je aliniambia akikutana na x wake na wakapiga story mbili tatu? Honestly mimi haitanisumbua sababu namuamini nami najua x siyo lazima muwe maadui.
Lakini huyo x akiwa bado yuko single hapo ni case tofauti aisee