Kama bado nampenda Ni bora nimtumie text asinijibu kuliko nikamblock maana nitakuwa najidanganya.Hapa sasa kama bado unampenda unaweza kuendelea kupeleka vi text ambavyo havijibiwi . Inaums
ukiona umepita mwaka hajakusalimia na umegundua ana mwaka huyo x wako hajakusalimia hata kwa msg 1...jua anaishi kwenye akili yako na akikuamlia siku mpashe kiporo hutoki.Ulichokisema nakielewa sana thus more spiritual na
Kuna hatua za kufanya ili kijitenga pia. Lakini nilichomaanisha ni nini X wangu ambaye kwa namna moja au mbili nilimwambia hatuwezi kuwa pamoja hatuwezi kuwa maadui so sijawahi kufuta no, lakini pia huwezi kunikuta nikimtumia msg au kumpigia. Akipata achievement flani akanishirikisha nampongeza na kumwambia keep going.
Akinisalimia kwa mwaka mara mbili nami nitamjibu just briefly. Huyo ni mimi, lakini hakuna story za ziada. Kuintatein mawasiliano ya mara kwa mara sidhani kama yana afya labda kama ni watu wana lengo la kurudiana.
Kwani wewe ujawai kuachana na mpenzi wako? Je namba ulizifuta? Nasisi tunataka kusikia majibu kutoka kwakoKama kichwa cha habari kunavyoeleza, madhara ya kuacha mawasiliano kama awali ilhali hamna mawasiliano ni nini?
Mmoja kwenye uchumba nilistuka kumuona na pete ya ndoa. Nilipouliza nilikula block.Kwani wewe ujawai kuachana na mpenzi wako? Je namba ulizifuta? Nasisi tunataka kusikia majibu kutoka kwako
Nilimtukana hawara yake.Kosa lilikuwa nini Mkuu?
Yako nilifuta....Unawaacha tu wa akiba.
Ndo maana sikupatiYako nilifuta....
VyoteKama kichwa cha habari kunavyoeleza, madhara ya kuacha mawasiliano kama awali ilhali hamna mawasiliano ni nini?
Labda uwe umemuacha ukiachwa wakati bado unampenda, ukiingia WhatsApp unamuona yuko online ni ngumu sana.Mkiachana vizuri hamna sababu ya kufuta namba. Wengine wameolewa na tumewachangia sasa mtu kama huyo namba utafuta vipi?
Mapenzi always ni two way streetMmh ku mblock uanze wewe?
🤣🤣🤣Mapenzi always ni two way street
Kuachana ni mapungufu kutoka pande zote mbili so kuepuka kurudiana na kuumizana tena mimi nitaanza kukublock that way no communication ya device lakini tukigongana mtaani salamu haigombi.
Watu wanaendelea kujiumiza kwa kuendelea kuhold feelings na ex kwani utataka kumfuatlia anafanya nini yuko na nani etc.
The only person nitamspare na hili zoezi ni baba watoto kama sina uzazi na wewe sitahitaji kuwa na namba yako.
You have to move on
**unakumbuka tulifundishwa Kifu 'Boys are just like buses you miss one catch another'
Inategemea ukikubali matokeo hupati shidaLabda uwe umemuacha ukiachwa wakati bado unampenda, ukiingia WhatsApp unamuona yuko online ni ngumu sana.
SALAMU hutokea Mala chache Sana pale mnapo misiana mimi nipo na ex wangu huyu sijuh kama tuta Kuja kuacha wasiliana yani tangu secondary huko Lakin ad Leo tuna wasiliana Safi Sana tume kuwa Marafiki wazuri SanaSasa hapa kwanini ukiwa na maisha mengine bado una namba ya ex wako na what’s iko active ingawa hamtumiani tena messages