RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Bitter exVyote
Block na kufuta namba
Baby come back isipewe nafasi..
Kuna mijitu miongooo inaumiza watu acha kabisa
Bitter exVyote
Block na kufuta namba
Baby come back isipewe nafasi..
Kuna mijitu miongooo inaumiza watu acha kabisa
Uyo ambaye ajaku block ujue akuwa na malengo nawewe hata hakisikia umeolewa yeye haimuumi, alafu mpaka anakuacha kuna sababu ambayo ameiyona ipo juu ya uwezo wako, kwa yeye haiwezi kumuumiza kiisia, mfano, labda yeye ana penda mwanamke mweusi mwenye makario! au mnene mwenye maziwa makubwa, kwaiyo inabidi hamtafute mwingine lakin wewe hawez kuku block hakijisikia kukupigia ana kupigia mnaogea tu kwa furaha.Mmoja kwenye uchumba nilistuka kumuona na pete ya ndoa. Nilipouliza nilikula block.
Mwingine aliniacha lakini hakuniblock ndiyo maana ninauliza.
Mkiachana maana yake mmeshindwana, hiyo ya kuona kovu la katikati ya mapaja hata madaktari na manesi wana onaga hivyo , mapenzi yakiisha basi mkikutana barabarani ni hi kama watu wengine, mambo yakuzoeana ndiyo mwanzo wakupashana viporo hiyo hakuna nafasiUsiliite gugumaji, mtu mliyekuwa kwenye mahusiano ya kingono, anajua hadi kovu lako la katikati ya mapaja, usimuite gugumaji kisa tu mambo yameenda tofauti mkuu.
Nipo ndugu, si unajua ukipata nafasi unachunguliaSalama tu,, umepotea sana..
Nimefurahi kukukuta tena huku
Je mkeo kuwasiliana na ex wake hata kama ni zaidi ya wawili je utakuwa vizuri tu au inakuwajeDem wangu wa kwanza ndio tumepotezana with no contact. Waliofuata tupo okay though wengine wameolewa pia. Sioni ttzo kuongea na ex zangu japo walio kwenye hatamu wanaleta matata ila huwa naweka mambo sawa.
Huyu ambae haja ni block ndiye aliyeomba kuongea na mimi sasa hiviUyo ambaye ajaku block ujue akuwa na malengo nawewe hata hakisikia umeolewa yeye haimuumi, alafu mpaka anakuacha kuna sababu ambayo ameiyona ipo juu ya uwezo wako, kwa yeye haiwezi kumuumiza kiisia, mfano, labda yeye ana penda mwanamke mweusi mwenye makario! au mnene mwenye maziwa makubwa, kwaiyo inabidi hamtafute mwingine lakin wewe hawez kuku block hakijisikia kukupigia ana kupigia mnaogea tu kwa furaha.
Basi uwe fair sio upande wako tu, yule naye anamwanaume kama weweAmegwe ila nisijue lakini nikija kujua talaka inamuhusu lazima akapumzike kwanza kwa mama yake
Nipo ndugu, si unajua ukipata nafasi unachungulia
Binafsi kwangu haiezi tokeaNi kama kuwa na 911 au 122 kwenye simu na unajua ni digits huwa hatuna mawasiliano nazo hadi wakati wa......
Nlikuwa nakariri zaman saivi nasave ata staki kuijua, akizingua nafuta nasahau kila kitu
Dah sjui moyo wangu ukoje, mi vyote huwa vinakufa kabisaKuna mapenzi na mahusiano...
Mapenzi, yameisha
Mahusiano, hayajaisha
Akiba naekaga wale wanaonitongoza afu sina nia nao kwa muda huo, siwatukani, siwajibu vibaya, wala sikubali na namba zao nakuwa nazo 🤣 🤣 🤣Unawaacha tu wa akiba.
Hata mimi simlaumu bali huwa najilaumu kwanafasi niliyoichezea, alinipenda sana aiseee nanilijua kumliza mtoto wakihaya ila pia namsifu kwamsimamo wakeBaada ya uliyomfanyia simlaumu
Kumbe tupo wengiSijawai kusave namba ya mpenzi
Utakuwa ukipenda unapenda kwa moyo na akili...Dah sjui moyo wangu ukoje, mi vyote huwa vinakufa kabisa