Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

Ke
Kipindi cha mwanzo huwa nawa block ila mikishazoea nawa unblock nabaki kucheki status na social media nawafollow kwa acc fake. Hakunaga urafiki baada ya kuachana huo ni uongo. Hapo kuna mmoja anataka kumpumzikia mwenzake
Kweli kabisa lazima mmoja atataka pumziko hapo
 
mm huwa sifutagi namba zake za simu nahuwa sijawahi hata kumblock na huwa sinagavita na maex wangu tukikutana we good tunaongea frsh tu.
 
Na kwa nini bado unamfuatilia tena kwa kujificha ?
Kipindi cha mwanzo huwa nawa block ila mikishazoea nawa unblock nabaki kucheki status na social media nawafollow kwa acc fake. Hakunaga urafiki baada ya kuachana huo ni uongo. Hapo kuna mmoja anataka kumpumzikia mwenzake
 
Mwanamke haachwi anapumzishwa tu. Siku ukimmis unamkumbusha mambo yaliyopita unapasha kiporo. Au akiwa na mawazo huko aliko ntakutafuta kiroho safi.
 
Kufuta number na Ku mblock x ni utoto na hasira za kijinga...!! Mimi hua na mute kama hakuna kitu kime toke mimi na wewe si kushobokei nikikutana na wewe chukua 50 zako na Mimi zangu ivoo yanii
Alafu huanapenda kupost kale ka wimbo cha Beyonce replicable ..
 
Mwalim mwenyew akiandika ubaon akimaliza anafutu, akisha futa hatorudia tena kuandika/ ukifuta na kuanza kumfatilia kwa mitandao huo ni utumwa ful u kula pini pambana na mishe zako.

Thanks mkuu
 
Nilimuacha mtoto mmoja wakihaya ila alikuwa aelewi kabisa kila day lazima atimbe kwangu kunililia kuna siku mpaka alilala sebureni mimi nikajifungia chumbani mpaka Kesho yake asubuhi ndio akasepa ila akuishia hapo.

Nilichokifanya nilihama ile nyumba kimyakimya mida yajioni nasikumwambia yoyote ninapohamia, nikabadili nanamba yasimu. Aliponitafuta hewani naalipokuja geto nakunikosa alianza kuja kijiweni kwangu napo nikaweka mfanyakazi mimi nikawa nafanya mishe nyingine bila ya mimi kupenda ila ilinibidi2 ili niachane nae.

Sasa hivi kanawiri kinoma navichenji anavyo, nimejaribu kujirudisha ila mtoto anamsimamo kinoma mwaka mzima namuomba hata nipashe kiporo ila mtoto anielewi kabisa yaani kama vile hakutolewa bikra namimi.

Kuna mademu wanamisimamo jamani hawakubali kabisa kupasha kiporo.

NB: ukipendwa shikiria hapo hapo maana inaweza isije kukutokea tena katika maisha yako ukapendwa kama ulivyo bila yakuwa nakitu.

Sijui nimetoka nje yamada!!!
 
flulanga, Kwa hiyo alivokua anakuja kukulilia hapo uliona anakusumbua? Hivi kwanini wanaume mna roho za kikatili? Hapo ukute alikukosea kitu cha kawaida ukaona ndo chance ya kumuacha. Yeye mangapi alikusamehe?

Nimekuuliza that from personal experience. Mimi sikulia na kujilaza sebuleni. I went there once mtu haeleweki hataki kusamehe simu hapokei wala hajibu msg nikaona isiwe shida. Nikatoka hapo, vitu vyake nilivyokua navyo nimempa rafiki yake. Yeye si kaamua. I had plans za kwenda mbele nikawa nahairisha sababu yake. Hapa nilipo na process mambo yangu nahama nchi. Atanikumbuka. Kosa lisilosameheka ni ku cheat.
 
Back
Top Bottom