Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

Huyu ambae haja ni block ndiye aliyeomba kuongea na mimi sasa hivi
Nakaa ukijua siyo kila mwanaume hakikuacha hakupendi, ila inatokea kapenda mwingine sana kuliko wewe ndiyo mahana anakuacha wewe kiujanja bila kukuhumiza ili badae akitaka kuludi asipate ugumu wakuojiwa, kwasababu Ajakufanyia jambo lolote baya.
 
Back
Top Bottom