Hapa pa urafiki, Mimi nikute hubby ana mawasiliano na mwanamke aniambie alikuwa girlfriend b4 me, sitamuelewa.
This is maturitySifuti namba, siblock WhatsApp, akiweka picha naangalia kama kawaida, ikinipendeza namwambia umependeza.
mkishakuwa kwenye mahusiano huwa kuna muunganiko flani wa nafsi usioonekana..hata mkiachana itakuwa ni kimwili tu ila nafsi bado zinakuwa kwa namna fulani bado zimeungana na ndio sababu muda mwingine unamkumbuka...ili kuharibu muunganiko huo ni vizuri kujitenga kwanza kimwili(Hapa physical distance inahusika sana) pia kiakili (it means kutompa muda kwenye akili yako pamoja na kutofanya naye mawasiliano yoyote)...unapowasiliana naye kwa namna yoyote ile ni kuwa unazidi kuchochea ule muunganiko wa nafsi bila ww kujijua na hapo kinachofata mwili utahisi kuna kitu unakosa kulingana na msukumo wa nafsi na ndipo hapo inatokea kupasha viporo...hujaona watu wanaachana kwa kila aina ya vituko mwisho wa siku unakuta tena wapo pamoja kiwiziwizi...uimara wa muunganiko wa nafsi katika mahusiano unategemea sana namna mlivyokuwa mnafurahia mahusiano yenu kipindi cha amani yani kabla ya kuachana.Siwezi kukataa wala kukubali mkuu, ila uhakika nilio nao ni kuwa inategemea na maturity, na uelewa wa hao watu wawili. Mfano nilioutoa nina uhakika nao kwa experience yangu binafsi. Asante
Dem wangu wa kwanza ndio tumepotezana with no contact. Waliofuata tupo okay though wengine wameolewa pia. Sioni ttzo kuongea na ex zangu japo walio kwenye hatamu wanaleta matata ila huwa naweka mambo sawa.Kama kichwa cha habari kunavyoeleza, madhara ya kuacha mawasiliano kama awali ilhali hamna mawasiliano ni nini?
Mmh ulishawahi kuwaza mke wako kumegwa na ex koloni?
Amegwe ila nisijue lakini nikija kujua talaka inamuhusu lazima akapumzike kwanza kwa mama yakeKwahiyo hata mkeo akimegwa na ex wake hautajali maana nawe unamega ma ex wako!
Unajua hapo kuna urafiki na sio mapenzi so mnakuwa mmeachana no attention between kwa iyo siku mfano mnakutana sio mbaya kama atapenda mnaweza pasha kiporo sio mbya by ze wei kila mtu anakuwa seriously na mpenzi wakeNa yeye bila hiyana anakupa mzigo? Seriously?!
Sasa kwa nini muachane kama mnaendelea kulana kijana!!
Nimewaundia group whatsup na alonibikiri ndo adminMmh yaani yule mpenzi wako wa moyoni unaona kabisa yuko online na amesha kwambia uanze.
Bado inategemea binamu....Hakuna kuachana vizuri kama mko vizuri mapenzi yangeendelea
We nae wa wapiHili ni genge la wahuni/wazinzi
hahaa unafuta number za simu,unam block insta and then unatumia jina linguine kum follow kwenye social media..lol
Jamaa anataka kupasha kiporoMimi sina ugomvi nao wote nina namba zao na wao wana namba zangu,, mmoja huwa hatuchat kabisa zaidi ya kila mtu kuishia tu kuview status za mwenzie ila mwingine huyo ndiyo karibu kila siku kunipigia simu na kunitumia meseji akiniomba turudiane..
Mimi binafsi bora nidelete tu namba ya mtu kuliko kublock yaani sijui kwanini but napenda eti nikiingia kwenye list yangu ya blocked contacts nikute 0 tu,, japo hao wote namba zao nilishazishika so hata nikizifuta bado ziko kichwani labda waamue kubadilisha tu..
Mi wa humuhumu JFWe nae wa wapi
Mwalim mwenyew akiandika ubaon akimaliza anafutu, akisha futa hatorudia tena kuandika/ ukifuta na kuanza kumfatilia kwa mitandao huo ni utumwa ful u kula pini pambana na mishe zako.hahaa unafuta number za simu,unam block insta and then unatumia jina linguine kum follow kwenye social media..lol
Ukishasikia wamepiga story mbili tatu ujue ile ya tatu ni kiporo mkiachana kuwa na mawasiliano mnaongelea nini YaniSky kuna vitu vingine hupaswi kujua, je aliniambia akikutana na x wake na wakapiga story mbili tatu? Honestly mimi haitanisumbua sababu namuamini nami najua x siyo lazima muwe maadui.
Lakini huyo x akiwa bado yuko single hapo ni case tofauti aisee