Kwekitui JF-Expert Member Joined Oct 29, 2017 Posts 1,071 Reaction score 1,091 Nov 17, 2019 #121 Sky Eclat said: Hakuna kuachana vizuri kama mko vizuri mapenzi yangeendelea Click to expand... Mtu akiniuliza nitoe maana halisi ya mapenzi Nitashindwa Mimi naelewa ni vitendo vya wakubwa
Sky Eclat said: Hakuna kuachana vizuri kama mko vizuri mapenzi yangeendelea Click to expand... Mtu akiniuliza nitoe maana halisi ya mapenzi Nitashindwa Mimi naelewa ni vitendo vya wakubwa
jaap JF-Expert Member Joined Dec 25, 2018 Posts 5,344 Reaction score 7,118 Nov 17, 2019 #122 Sky Eclat said: Huyu ambae haja ni block ndiye aliyeomba kuongea na mimi sasa hivi Click to expand... Nakaa ukijua siyo kila mwanaume hakikuacha hakupendi, ila inatokea kapenda mwingine sana kuliko wewe ndiyo mahana anakuacha wewe kiujanja bila kukuhumiza ili badae akitaka kuludi asipate ugumu wakuojiwa, kwasababu Ajakufanyia jambo lolote baya.
Sky Eclat said: Huyu ambae haja ni block ndiye aliyeomba kuongea na mimi sasa hivi Click to expand... Nakaa ukijua siyo kila mwanaume hakikuacha hakupendi, ila inatokea kapenda mwingine sana kuliko wewe ndiyo mahana anakuacha wewe kiujanja bila kukuhumiza ili badae akitaka kuludi asipate ugumu wakuojiwa, kwasababu Ajakufanyia jambo lolote baya.
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,658 Dec 4, 2019 #123 Sky Eclat said: Kama kichwa cha habari kunavyoeleza, madhara ya kuacha mawasiliano kama awali ilhali hamna mawasiliano ni nini? Click to expand... mabikra wakiume tunachangia wapi?
Sky Eclat said: Kama kichwa cha habari kunavyoeleza, madhara ya kuacha mawasiliano kama awali ilhali hamna mawasiliano ni nini? Click to expand... mabikra wakiume tunachangia wapi?