Unayajua mapenzi wewe?mkioana tu hakuna mtu anafikiri hayo utasikia baby andika tu Jina lako na hela imetoka kwenye 10% ya michango ya harusi.
Mimi ndoa yangu ilikufa Ndio maana nakuambia hayo.Siyajui mapenzi mkuu
Ni wewe unayeyajua ambaye upo ndani ya ndoa,unajua kila kitu
Pole mkuuMimi ndoa yangu ilikufa Ndio maana nakuambia hayo.
Nimeyaishi sio kwa kusimuliwa
Akili inakuja mnapokaa mezani sheria inawaongoza sio mapenzi tena.
Pole mkuu
Nilishapoa bidada,na Maisha yanasonga vizuri.Mungu mwema sana kama ntaachana kwa Amani.
Ile kushikilia mbaya sana.
Kila mtu ale kilicho halali yake.Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha
Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references
Ubaya Ubwela
Iliwekwa hiyo kwa sbabau ya tabia za kuoa na kuacha mnavyotaka kwa kuendekeza tamaa za uzinziUislamu umeelekeza endapo utamuacha mke wako basi mpe jpo kitoka nyumba akaanzie maisha huko anapokwenda lkn sio mambo hya ya pasu kwa pasu
Qur'an ipo mbele ya muda kwa kila kitu
Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Inapendeza kuona mnaunga mkono hili.Yeah, kabisa....
Jasho la mwenzio hakuna kulitolea macho.
Wale tunaoolewa ili tukavunje ndoa na kugawana Mali hakika imekula kwetu...hapa ndo itajulikana sasa,kama kweli wanawake tunapenda kuolewa au tunapenda Mali🥴🥱
Amen 🙏Umeshajifunza...na maisha ndivyo yalivyo,tunajifunza kila siku
Naamini utapata kilicho bora zaidi ya ulichokiacha
Hii ni Ubunifu wa Rais Trump,hatua hii inaenda kupunguza "wimbi wa kuvunjika kwa ndoa au wanawake kuomba talaka kiholela"Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
Kijana acha dharau hili la kwanzaIliwekwa hiyo kwa sbabau ya tabia za kuoa na kuacha mnavyotaka kwa kuendekeza tamaa za uzinzi