Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Zilipatikanaje mkiwa wote?
Kama wote mnaondoka asubuhi kwenda kukwepa mishare na kupambana na shida za Duniani hapo sawa.
Lakini mke uko nyumbani mwanamume kiguu na njia huku na kule kutafuta na kuleta mke na watoto wanakula, unawavesha, unalipa ada za watoto, umejenga nyumba mkae au unalipa kodi wewe, Kila asset umenunua wewe, unakuta nyumbani Kuna house girl unalipa wewe mshahara nk. MNAGAWANAJE HAPA?.