Mkiachana na mwanamke hakuna mgao wa mali. Anatakiwa aondoke na begi lake la nguo

Mkiachana na mwanamke hakuna mgao wa mali. Anatakiwa aondoke na begi lake la nguo

Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)

Zilipatikanaje mkiwa wote?

Kama wote mnaondoka asubuhi kwenda kukwepa mishare na kupambana na shida za Duniani hapo sawa.

Lakini mke uko nyumbani mwanamume kiguu na njia huku na kule kutafuta na kuleta mke na watoto wanakula, unawavesha, unalipa ada za watoto, umejenga nyumba mkae au unalipa kodi wewe, Kila asset umenunua wewe, unakuta nyumbani Kuna house girl unalipa wewe mshahara nk. MNAGAWANAJE HAPA?.
 
Zinapatikana wote kwa wote kufanya kazi
 
Hata begi la Nguo libaki tu tayari tunakuwa tumejenga nyumbani 😝😅
 
Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Mkiwa wote kiaje, Kenya unachukua ulichovuna ,unakuta mie naumia yaani najiumiza napata kitu, yaani nafanya kazi ambayo kifo nakichungulia wewe umelala ndani eti tugawane sawa. Yaani wanawake bana nyie mnawaza Mali tu ilhali sie tunawaoa hata mia moja hamna mfukoni.
Yaani wewe kupewa kidude chako unajiona unastahili kula jasho la mwanaume na ilhali hata wewe io bikra, huna thamani yoyote Kama watt hata wewe unataka watt
 
Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha

Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references

Ubaya Ubwela
Hapo mtakuwa mnaishi kimkakati na hamtakuwa mkipendana bali mnawindana.

Ukipenda kwa dhati hayo yote huwezi kuyafikiria.
 
Inaonekana wanawake ni watafutaji mpaka kwenye ndoa,
Haya watoto je inakuaje?
 
Inaonekana wanawake ni watafutaji mpaka kwenye ndoa,
Haya watoto je inakuaje?
Wanawake Kila kwao ni trading yaani hawataki low value, Wana umri mdogo Ila wanataka mwanaume mwenye umri mkubwa,anayo diploma anataka mwenye bachelor
 
Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Kama mlikua pamoja na hukutoa hata mia mbovu kwanini mgawane,
Na ukute ulikua goal keeper,labda upasue choo uchkue uchafu uliouacha hapo mana sasa huna cha kusaidika,
Na tena ukute hamkubahatika hata watoto
Sio mimi ,ni mawazo tu juu ya maneno ya trump
 
Tena hilo begi la nguo,asiondoke na nguo ambazo ulimnunulia,

Trump akifanikiwa hili,itaondoa huu utapeli wa wanawake kujiingiza kwenye ndoa kwa tamaa za mali,

Trump ni mfanya biashara,anajua jinsi hela inavyo tafutwa.
 
Kipengele cha kurudisha mahari kiwekwe pia. Nothing goes scot-free 🤣
 
Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha

Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references

Ubaya Ubwela
Unayajua mapenzi wewe?mkioana tu hakuna mtu anafikiri hayo utasikia baby andika tu Jina lako na hela imetoka kwenye 10% ya michango ya harusi.
 
Back
Top Bottom