GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ruto niliyemuona akiwa na Mikogo yote Siku anaapishwa kuwa Rais wa Kenya na huyu Ruto ( Rais ) wa Kenya ninayemuona leo ni Watu wawili tofauti.
Ruto ( Rais wa Kenya ) wa sasa ukimtizama hata tu Usoni utagundua kuwa ameshaanza kupaona Ikulu ni Pagumu, ana Sura ya Kutia Huruma na huenda hata Kimoyomoyo anajutia kwanini aligombea Urais Wenyewe.
Ndiyo maana Siku zote Watu ( Wanadamu ) Werevu ( Intelligent ) huwa hawapendi Kujihusisha na Siasa ( tena hizi Mbovu na za Visasi pamoja na Chuki, ila ile 'Mipopoma' pekee ndiyo hupenda Madaraka na Tamaa ya Pesa, ili waje Kututambia Vijiweni Kwetu.