Mkiambiwa Ikulu siyo kwa Kukimbilia muwe mnaelewa sawa?

Mkiambiwa Ikulu siyo kwa Kukimbilia muwe mnaelewa sawa?

Mbona wa kwenyetu husemi jana ana Hamasisha nguvu za Kiume akati Tozo zime maliza nguvu za kiume!!!!
 
Ruto niliyemuona akiwa na Mikogo yote Siku anaapishwa kuwa Rais wa Kenya na huyu Ruto ( Rais ) wa Kenya ninayemuona leo ni Watu wawili tofauti.

Ruto ( Rais wa Kenya ) wa sasa ukimtizama hata tu Usoni utagundua kuwa ameshaanza kupaona Ikulu ni Pagumu, ana Sura ya Kutia Huruma na huenda hata Kimoyomoyo anajutia kwanini aligombea Urais Wenyewe.

Ndiyo maana Siku zote Watu ( Wanadamu ) Werevu ( Intelligent ) huwa hawapendi Kujihusisha na Siasa ( tena hizi Mbovu na za Visasi pamoja na Chuki, ila ile 'Mipopoma' pekee ndiyo hupenda Madaraka na Tamaa ya Pesa, ili waje Kututambia Vijiweni Kwetu.
Kunani kiundani?
 
Namuonea mno Huruma kwani Kazungukwa na Mafia Watupu Kitu ambacho ni Hatari Kwake ( hasa Kiusalama na Kiulinzi ) na ukizingatia hata Kifo cha Kutatanisha cha Mwanasheria Mahiri na Mashuhuri hivi Majuzi anbaye pia Swahiba ( Rafiki yake ) Rais Ruto.
Ruto sio JPM aliyeishia JKT oljoro
 
Ni msimu wa nyuzi za popoma
vile ndg yangu Matola anavyopiga hesabu za kumpiga spana popoma.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom