GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Namuonea mno Huruma kwani Kazungukwa na Mafia Watupu Kitu ambacho ni Hatari Kwake ( hasa Kiusalama na Kiulinzi ) na ukizingatia hata Kifo cha Kutatanisha cha Mwanasheria Mahiri na Mashuhuri hivi Majuzi anbaye pia Swahiba ( Rafiki yake ) Rais Ruto.Mkuu ikulu ya kenya imejaa mamluki wengi,mzee lazma apagawe
MkuuUzi wa popoma bila matusi wala.hata haunogi. GENTAMYCIME anza kutukana basi mkuu usitufanyie hivyo
Kenya ni ngumu mnoo kuiongoza.Ruto niliyemuona akiwa na Mikogo yote Siku anaapishwa kuwa Rais wa Kenya na huyu Ruto ( Rais ) wa Kenya ninayemuona leo ni Watu wawili tofauti.
Ruto ( Rais wa Kenya ) wa sasa ukimtizama hata tu Usoni utagundua kuwa ameshaanza kupaona Ikulu ni Pagumu, ana Sura ya Kutia Huruma na huenda hata Kimoyomoyo anajutia kwanini aligombea Urais Wenyewe.
Ndiyo maana Siku zote Watu ( Wanadamu ) Werevu ( Intelligent ) huwa hawapendi Kujihusisha na Siasa ( tena hizi Mbovu na za Visasi pamoja na Chuki, ila ile 'Mipopoma' pekee ndiyo hupenda Madaraka na Tamaa ya Pesa, ili waje Kututambia Vijiweni Kwetu.
Akili zako unazijua mwenyewe🤣Uzi wa popoma bila matusi wala.hata haunogi. GENTAMYCIME anza kutukana basi mkuu usitufanyie hivyo
"If i fail it doesn't mean it was impossible to win" ernesto che guevara ishi humo
Acha kuharibu thd,kama vipi pita kimya tu.Uzi wa popoma bila matusi wala.hata haunogi. GENTAMYCIME anza kutukana basi mkuu usitufanyie hivyo
Kama kweli unapenda kuwa responsible huwezi ng'ang'ania madaraka hata siku mojaRuto niliyemuona akiwa na Mikogo yote Siku anaapishwa kuwa Rais wa Kenya na huyu Ruto ( Rais ) wa Kenya ninayemuona leo ni Watu wawili tofauti.
Ruto ( Rais wa Kenya ) wa sasa ukimtizama hata tu Usoni utagundua kuwa ameshaanza kupaona Ikulu ni Pagumu, ana Sura ya Kutia Huruma na huenda hata Kimoyomoyo anajutia kwanini aligombea Urais Wenyewe.
Ndiyo maana Siku zote Watu ( Wanadamu ) Werevu ( Intelligent ) huwa hawapendi Kujihusisha na Siasa ( tena hizi Mbovu na za Visasi pamoja na Chuki, ila ile 'Mipopoma' pekee ndiyo hupenda Madaraka na Tamaa ya Pesa, ili waje Kututambia Vijiweni Kwetu.
Huyo yuko JamiiForums Kunikandia kwa kila Kitu na kama hamjui ndiyo Yule Yule niliyembatiza Jina jipya la 'Ngala Ngala' na hiyo ni ID yake mbadala.Acha kuharibu thd,kama vipi pita kimya tu.
Uzi wa popoma.bila.matusi ni sawa na Yanga bila MayeleHuyo yuko JamiiForums Kunikandia kwa kila Kitu na kama hamjui ndiyo Yule Yule niliyembatiza Jina jipya la 'Ngala Ngala' na hiyo ni ID yake mbadala.
Ananichukia lakini 24/7 ananisoma JF. Na mwambieni LIKUD aliyemtagi ( aliyemtaja ) hapo ni GENTAMYCIME na Mimi anayenichukia ni GENTAMYCINE hivyo ni Watu Wawili tofauti.
Ruto amegundua kwamba Uraisi wake hauna nguvu kabisa, kwa kuwa vikao vya seneti na bunge sijui wanaotawala ni chama cha Odinga. Ali focus kwenye kucharanga kura za uraisi, akajisahau kuwa uraisi bila kuwa na power za wabunge si mali kitu. Ni sawa na Tundu Lissu awe raisi halafu CCM ibaki na Wabunge na madiwani wake kama ilivyo sasa. Au Magufuli awe raisi halafu wabunge karibu wote Chadema, na Spika Ndugai Chadema! Mbona atakoma! Ndio yanayompata Ruto. Itabidi aombe poo kwa Odinga!Ruto niliyemuona akiwa na Mikogo yote Siku anaapishwa kuwa Rais wa Kenya na huyu Ruto ( Rais ) wa Kenya ninayemuona leo ni Watu wawili tofauti.
Ruto ( Rais wa Kenya ) wa sasa ukimtizama hata tu Usoni utagundua kuwa ameshaanza kupaona Ikulu ni Pagumu, ana Sura ya Kutia Huruma na huenda hata Kimoyomoyo anajutia kwanini aligombea Urais Wenyewe.
Ndiyo maana Siku zote Watu ( Wanadamu ) Werevu ( Intelligent ) huwa hawapendi Kujihusisha na Siasa ( tena hizi Mbovu na za Visasi pamoja na Chuki, ila ile 'Mipopoma' pekee ndiyo hupenda Madaraka na Tamaa ya Pesa, ili waje Kututambia Vijiweni Kwetu.
Sidhani unachokisema,RUTO yuko na idadi nzuri tu ya wabunge kwa sasa.Ruto amegundua kwamba Uraisi wake hauna nguvu kabisa, kwa kuwa vikao vya seneti na bunge sijui wanaotawala ni chama cha Odinga. Ali focus kwenye kucharanga kura za uraisi, akajisahau kuwa uraisi bila kuwa na power za wabunge si mali kitu. Ni sawa na Tundu Lissu awe raisi halafu CCM ibaki na Wabunge na madiwani wake kama ilivyo sasa. Au Magufuli awe raisi halafu wabunge karibu wote Chadema! Mbona atakoma! Ndio yanayompata Ruto. Itabidi aombe poo kwa Odinga!
Asipoangalia hata vote of no confidence wanaweza kumfanyia!
Naona wewe unaongelea yale yanayoitwa chama la mapinduzi la nchi ya bongoKenya ni ngumu mnoo kuiongoza.
1. Mijitu mifisadi kupitiliza
2. Majitu mi mafia sana
3. Hawapendi kuburuzwa
Mimi siyo huyu aliyeiga ID yangu ili Kusafiria Nyota yangu Kali Kiumaarufu GENTAMYCIME bali Mimi ni GENTAMYCINE halisi Mwenye Avatar ya Netanyahu na niliyejiunga JamiiForums mwaka 2013 Mwezi July sawa?
Kweli kabisaMimi siyo huyu aliyeiga ID yangu ili Kusafiria Nyota yangu Kali Kiumaarufu GENTAMYCIME bali Mimi ni GENTAMYCINE halisi Mwenye Avatar ya Netanyahu na niliyejiunga JamiiForums mwaka 2013 Mwezi July.
Kwahiyo mwenye Hadhi hiyo ni nani?Kweli kabisa
Huyo hana hadhi ya kuitwa Popoma