Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hatoboi nini ?Habari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Hatoboi nini ?
We ni mwanachama Namba ngapi?Habari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Hata ukiwasikiliza Makamanda walio wengi ndani ya chama, wanasema ni wakati sasa wa Mh. Mbowe kupumzishwa nafasi yake ya Uenyekiti, kupitia sanduku la kura! kama amegoma kupumzika kwa hiyari yake.
Kwa nilichoonyeshwa na Mungu ni kweli ,ila kuna hujuma , Hilo sasa ni jambo lingine ambalo hata serikali watalishadadia litokee Ili chama kivunjike . Yaani kama unasaidiwa kumbe wanaenda kuvunja taasisi
Mbowe ni wale wa sikio la kufa halisikii dawa. Madaraka yameshamlewesha hasikii wala haambiliki. Acha astafu siasa kwa aibu kumbwa
Msingida amshinde Mchagga! Haijawahi kutokea bwasheeHabari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Amejinaasibu kuwa ataushangaza ulimwenguUshindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Great!!!!Kwa nilichoonyeshwa na Mungu ni kweli ,ila kuna hujuma , Hilo sasa ni jambo lingine ambalo hata serikali watalishadadia litokee Ili chama kivunjike . Yaani kama unasaidiwa kumbe wanaenda kuvunja taasisi
Msingida amshinde Mchagga! Haijawahi kutokea bwashee
Amejinaasibu kuwa ataushangaza ulimwengu
Mkutano ujao wa waandishi wa habari utahusu mtu kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa CHADEMA.
Ayatollah mbowe atakuwa anatembeza bahasha nzito kwa sasa🤣🤣🤣🤣