Pre GE2025 Mkiambiwa Mbowe hatoboi muwe mnaelewa

Pre GE2025 Mkiambiwa Mbowe hatoboi muwe mnaelewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani mtu unalala unaota ukiamka unapost tu. Kalale tena basi uote uki…..au basi, sio hulka yangu.
 
Unakumbuka ya Mrema? Mbowe hawezi shindwa na Lissu

Mpaka sasa kashindwa, ni wewe tuu huoni Hali ilivyo.

Siasa ni watu.
Ukikosa watu umeshindwa.

Ndio maana CCM kwa kulijua Hilo wao hufanya juu chini hata kununua watu muhimu wenye ushawishi ili wawe upande wao
 
Habari za jumapili.

Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.

Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.

Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.

Haya. Aibu ya kujitakia hii
Kwa nini ajitoe wakati kwenye uchaguzi kuna kushinda au kushindwa?
 
1. Rushwa
2.Kushindwa kutetea wanachama wenzao wanaotekwa.
3. Kushindwa kujitetea wanapofanyiwa dhulma za kiuchaguzi.
Hiyo yote ni Kwa sababu ya ubovu wa Safu ya juu kabisa ya viongozi
..Kuna mama mmoja akizungumza kutoka katavi kuhusu kuibiwa serikali za mitaa, alisema yeye Yuko na lissu tu
 
Kwa nini ajitoe wakati kwenye uchaguzi kuna kushinda au kushindwa?

Wewe unafikiri ni Jambo la busara kushindwa na MTOTO uliyemkuza?

Unafikiri CCM watakubali Washindwe na CHADEMA hata kama Kura zinaonyesha hivyo?
 
1. Rushwa
2.Kushindwa kutetea wanachama wenzao wanaotekwa.
3. Kushindwa kujitetea wanapofanyiwa dhulma za kiuchaguzi.
Hiyo yote ni Kwa sababu ya ubovu wa Safu ya juu kabisa ya viongozi
Sasa Robert Mbowe angefanyaje pale chaguzi zinapohujumiwa? Akiitisha maandamano hamtokei
 
Mzee anajitafuna mwenyewe. Kila anavyozidi kujitetea ndivyo anavyozidi kuonekana kituko.

Hata kina Museveni na Marehemu Mugabe walianza kama hivi. Huyu mwamba akipewa nchi mabadiliko pekee ya katiba atakayoleta ni kuondoa ukomo wa mtu mmoja kugombea uraisi.
 
Habari za jumapili.

Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.

Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.

Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.

Haya. Aibu ya kujitakia hii
Tukisema uchaguzi ulishaisha watu hawaelewi, waliochukua vibunda vya watu wavirudishe vinginevyo wataolewa kwa lazima , dunian hakuna cha bure
 
Back
Top Bottom