Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Ndo maana ya JF jukwaa huru. Asante kwa kushiriki ndivyo mtwana wako atakavyojibiwa baada ya uchaguzi kuisha.
1π―% anapigwa chini kwenye box la kura halafu tunaendelea na mapambano.
Bowel anapaswa kupumzishwa kwa heshima huymbowwenikama nkurunzizawa
Yetu macho mpaka sasa kΓΌme zidi kuchangamka.
Tukisema uchaguzi ulishaisha watu hawaelewi, waliochukua vibunda vya watu wavirudishe vinginevyo wataolewa kwa lazima , dunian hakuna cha bure
Inaweza ikawa ngumu ukizingatiwa amepewa fungu...huendaMkutano ujao wa waandishi wa habari utahusu mtu kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa CHADEMA.
Muondoe Gaddaffi hapo,Mwamba wa AfricaKina Nyerere na Mandela wao sio wajinga kuachia madaraka mapema.
Heshima waliyonayo ni kubwa kuliko Gaddafi na Mugabe
Muondoe Gaddaffi hapo,Mwamba wa Africa
Warudishe mapema ,wale wajinga wasiporudishiwa pesa zao ,wajiandae kuwekwa wazi , kwa njia zozote periodWatapambana kutetea pesa walizopewa
Hata puto hatoboiHatoboi nini ?
Imagine huyo Mangi angeshinda uraisi wa Jamhuri? Angefanya kila njia asitoke madarakani.Sema Mbowe bhana, sijui wapi kajichanganya. Lakini huwezijua
KuleTLS, Lisu aliishinda Serikali, CCM pamoja na mgombea wao. Hivyo Lisu kumshinda Mbowe, haitakuwa ajabu hata kidogo.Unakumbuka ya Mrema? Mbowe hawezi shindwa na Lissu
Creation ya yule Mzee Nchama cha Mzee Mtei
πππ kuolewa tenaTukisema uchaguzi ulishaisha watu hawaelewi, waliochukua vibunda vya watu wavirudishe vinginevyo wataolewa kwa lazima , dunian hakuna cha bure
Ndo ivyo mkuu ,sisi kazi yetu ni kuwakumbusha tu, kwamba mbele yao kama wapo waliochukua vibunda wasiporudisha wataishi maisha ya Tab sanaπππ kuolewa tena
Mkuu hivi mkichezeana rafu ndani ya chaguzi zenu chamani mnaenda kushtakiana wapi au Ubelgiji.π
Nafurahi kuona unaenjoy kila umkapo kusoma waota ndoto.
Mbowe hawezi kumshinda Lisu.
Mkuu hivi mkichezeana rafu ndani ya chaguzi zenu chamani mnaenda kushtakiana wapi au Ubelgiji.