MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili.
Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa kuanza naahidi kuchangia Tsh. 2 bilioni. Nawaomba wanasimba tuchangie sote.
Chanzo: Ukurasa wa Instagram wa Mo Dewji
Kuna Tapeli / Samjo Samjo Mmoja kadhamini tu Tsh Bilioni 2 katika NBC Premier League na Kuvidhamini Vilabu viwili vitatu anatamba kuwa ana Hela.
Kudadadeki Mwanaume sasa ametenga Billioni 2 za Kujenga Uwanja tena kwa Pesa zake halali kabisa na siyo za Wengine za Dhuluma, Ulaghai na Kuuza Dawa za Kusinzia hovyo Vijana huku wakitokwa na Maudenda yao midomoni.
TFF nadhani mmeshamsikia Tajiri Mo Dewji na Rais wa Heshima Simba SC kwa hii Jeuri yake kutokana na Roho Mbaya yenu ya Juzi kwa CEO Barbara Gonzalez na Mshauri wake Mkuu Crescentius Magori.
Na Uwanja huu / huo Ukikamilika Mimi kama KEROZENE nitaomba Kazi ya Ulinzi na natoa ANGALIZO mapema kwa Viongozi wa TFF ( hasa Mnafiki na mwana Yanga SC CEO wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo ) nikiwa Getini hamtoingia na mkilazimisha mtajua kwanini Hayati Bruce Lee aliniachia Urithi wa Sanaa yake ya Kimapigano.