Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Uwanja hauwezi kujengwa kwa michango ya mashabiki wala kwa mchango wa 2B za Mo. Hapa kuna komedi inatengenezwa.
Ninavyojua mimi klabu itachukua mkopo kutoka benki na kujenga uwanja kisha kinachofuata ni kulipa mkopo ambapo klabu itapata pesa za kulipia kwa kupitia bidhaa mbalimbali za klabu kuziuza kwa mashabiki wake.
Ila mashabiki wanasombwa na hisia hata kuangalia usahihi wa dira yao ni ngumu