Mkiambiwa Mo Dewji ni Tajiri, hatanii na kamwe msimfananishe na Tajiri wenu 'Samjo Samjo' GSM muwe mnaelewa na msibishe

Uwanja hauwezi kujengwa kwa michango ya mashabiki wala kwa mchango wa 2B za Mo. Hapa kuna komedi inatengenezwa.

Ninavyojua mimi klabu itachukua mkopo kutoka benki na kujenga uwanja kisha kinachofuata ni kulipa mkopo ambapo klabu itapata pesa za kulipia kwa kupitia bidhaa mbalimbali za klabu kuziuza kwa mashabiki wake.

Ila mashabiki wanasombwa na hisia hata kuangalia usahihi wa dira yao ni ngumu
 
mtu anadhamini ligi kuu kwa bil 2 kwa mkataba wa miaka 2 ,wakati Vunja Bei jezi tu kaweka mkataba wa bil 2 kwa mwaka
Vunja hajaweka kutangaza vunja bei kaweka kuuza jezi na vifaa vya Simba na pesa yake anarudisha tu GSM kawekeza kutangaza brand yake tu GSM. NBC kaweka 2.5 Billion ndio thamani ya league yetu sasa ulitaka aweke pesa ndefu kuliko mdhamini mkuu.
 
Haya mzungu huyo eti ndiyo mjuvi wa lugha ya malkia Makolokoloni
Critics are really the enemy and I

Nilijua critics lazima mtafute angle ya kusemea, haya niambie tatizo lipo wapi hapo?
 
Upo sahihi kiasi fulani.....
Japo sio asilimia zote.
Watachanga kwa kiasi chao ndio maana kakwambia kwa kuanzia.
Kitakachobaki watatafuta namna....

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo jema kumpongeza Mo Dewji kwa wazo/moyo wake wa kuendeleza Simba. Lkn kuanza kusifia kuwa Mo ni tajiri....ni utoto/ulimbukeni/upumbavu
 
Ofisi zetu kama vyoo vya kulipia.

Ni vema uongozi wangejenga ofisi za kisasa kwanza.

Halafu hili la uwanja ndo lingetakiwa kufikiriwa after 50 years later.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…