MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
IMG_6606.jpeg


Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM.

Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
 
Alisema ana jasho lake chadema la over 20 yrs.kamuachia nani? Au kamuachia Mungu
 
Back
Top Bottom