Huo ndio unaoitwa mzuka original
Kwa majibu hayo inamaanisha mtu anaeziona mupenzi pekee au sio mkuu?Wasamehe mkuu hawajafundwa hao mwanamke uliyefundwa ukianika chupi zako nje lazima ufiche na khanga juu au chochote ili chupi zisionekane
Kwa majibu hayo inamaanisha mtu anaeziona mupenzi pekee au sio mkuu?
Wanawake wengine hajielewi kabisa,unakuta zingine zimetoboka lakini wapi hata kusema ngoja hizi nizifiche hakuna
Swadaktaa mkuu.Anayetakiwa kuona chupi yako ni mumeo au mpenzi wako sio watu wengine mkuu
Nakaziabila picha huo ni uchochezi.
Una sexual disorder..nakushauri uwaone wataalamu wa afya ya akili wakusaidie..(sijakudhihaki..nimesema ukweli)
Siku hizi si inasemekana hawavai kabisa chupi? Au zinaonekanaje zikiwa zimeanikwa?Mchana mwema wakuu,
Unapita sehemu unakuta kamba imejaa vyupi hatari vya rangi mbalimbali,wengine tukiziona zile tunaanza kujenga picha ya papuchi,baada picha ku-develop kichwani mshedede unapata taarifa kisha unatutumka kama kitu gani sijui.
Enyi wanawake wenye tabia hii mnatupa tabu sana,nashauri mkianika basi chukua mtandio ama kanga funika vifuniko vya asali hivyo.