Mkianika chupi zenu nje muwe mnazifunika, tunaumizana jamani...!

Wasamehe mkuu hawajafundwa hao mwanamke uliyefundwa ukianika chupi zako nje lazima ufiche na khanga juu au chochote ili chupi zisionekane
Wachawe!!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Wakati wa zama za mawe, binadamu waliishi uchi kabisa. Lakini bado waliweza kuendelea na shughuli za kila siku bila tatizo. Wakagundua chuma, wakagundua moto and the rest is history!

Huu ni mwaka 2018, kuna mwanaume analalamika kuona chupi ikiwa imeanikwa kwenye kamba.

The future is fragile!
 

Vipi ukikuta mpya zimepangwa/zimeninginizwa zinauzwa, je unapata hiyo shida?
 
hahahha na kweli mana wengine wana mafungu bana [emoji12]
 
Sana
ukiona hivyo ujue ni chupi mpya hizo
zile ambazo zimeshonwaa za mambo yetu wanawake hazianikwo nje hivyoo.. hata hivyo mwanamke akiyefundwa huanika chupi na kufunika na kanga au mtandio ndo maana ya heshima ya chupi ya mwanamke..ukiona mwanamke anaanika hivyo ni malaya huyo anataka wanaume tuu hana lolote huyooo.. POLENI WANAUME MNAOPITIA MAJARIBU HAYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…